Leo ilikuwa ni siku adhimu sana kwa Wazanzibari siku ambayo ilitangazwa elimu bila malipo kila ifikapo siku kama hiyi wanafunzi huisherekea kwa kwaya ,michezo ya kuigiza ,mbio za vijiti aina mbali mbali za mipira na mashairi kwa hakika wanafunzi mbali mbali hupokea zawadi kwa ushindi kulingana na michenzo waliyoshiriki na baada yake zawadi ya wanafunzi […]
