Na Foum Kimara Ninafarajika kukuta safari za viongozi zinazokuja na matokeo ya matumaini mema nchini. Na ndio tutaendelea kupigania uwepo wa serikali ya umoja ilio na ufanisi mkubwa kuliko huu wa sasa, kwa vile miundo ya aina hii huwa na mvuto wa ushindani katika maendeleo huku ukitoa unafuu kwa yale mabaya yanayotokana na hasama za … Continue reading Ziara yenye matunda ndio itakiwayo
