Na Mohammed Ghassani Ijumaa ya tarehe 6 Februari 2015, Rais Joachim Gauck wa Ujerumani na ujumbe wake waliondoka mjini Arusha kurejea kwao baada ya kuwepo ndani ya ardhi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tangu usiku wa Jumatatu ya tarehe 2 Februari. Usiku huo, pale uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar … Continue reading Kila mahala ngoma, tunaficha nini?
