Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyoundwa mwaka 2010 baada ya kufanyika Uchaguzi Mkuu imesaidia kumaliza uhasama, chuki, dharau na mambo mengine ambayo yaliwagawa Wazanzibari tangu ulipoingia mfumo wa vyama vingi hapa nchini mwaka 1992. Tangu wakati huo uliopoanza mfumo wa vyama vingi na hususani ulipofika wakati wa uchaguzi kulizuka mambo mengi ambayo yalitokana na masuala … Continue reading Nahodha: Wanasiasa wanaweza kupoteza amani Zanzibar
