Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Ninaishi Magharibi

Kwa lugha na utamaduni wangu, magharibi ina maana nyingi: ndiko jua linakotulia likaibadilisha leo kuwa jana na kuitayarisha kesho kuwa leo. Ndicho kielelezo pia cha kumalizika kwa maisha ya mwanaadamu ya hapa duniani, maana magharibi kawaida huja na giza, na giza ni alama ya mauti. Magharibi pia ni nadharia ya kisiasa kwenye medani za kilimwengu … Continue reading Ninaishi Magharibi Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles