Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, ameshauri sheria ya kuwaenzi waasisi wa taifa ifanyiwe marekebisho, ili kuiwezesha bodi ya udhamini wa mfuko wa kuwaenzi waasisi hao kufanya kazi zao kwa uhakika. Amesema sheria hiyo namba 18 ya mwaka 2004 bado haijabainisha vyanzo vya mapato ya kuendesha bodi hiyo na kutanabahisha … Continue reading Bodi ya kuwaenzi waasisi yahitaji kusaidiwa – Maalim Seif
