Zanzibar iliingia katika historia ya kupewa uhuru wake kutoka kwa Muingereza na serikali ya kwanza ikaundwa visiwani katika uongozi wa Waziri Mkuu Mohamed Shamte chini ya utawala wa kifalme. Nimepitia tena katika nyaraka zilizovujishwa na mtandao wa Wikileaks na kukuta mazungumzo ya faragha yaliyofanyika baina ya Ali Sultan Issa na Ujumbe wa Balozi wa Marekani … Continue reading Uhuru wa Disemba 10 ulimuondoa mkoloni, Mapinduzi yaliondosha ufalme
