Fitina nyengine inapandwa dhidi ya Wazanzibari na dhidi ya Zanzibar. Na mpandikizaji wa mara hii ni Samuel Sitta, waziri mwandamizi kwenye serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwenye dhamana ya mawasiliano na uchukuzi, na ambaye ndiye aliyekuwa pia spika wa Bunge Maalum la Katiba lililomazika kwa kutoa kile kiitwacho Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa inayotazamiwa … Continue reading Ni kweli Tanzania inawaogopa ‘Waarabu wa Zanzibar’?
