Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Haji Omari Kheri bado una moyo wa kuongoza?

Mkanda wa sauti iliyonaswa kwenye mazungumzo yanayoaminika kufanywa na Waziri wa Tawala za Mikoa visiwani Zanzibar, Haji Omari Kheri, na “watu wake“, yumkini akiwa kijiji cha Jongowe, Tumbatu, umesambazwa mitandaoni. Kwenye mazungumzo hayo, anasikika mwakilishi huyo wa jimbo la Tumbatu akipanga mikakati ya kuwapata watu wa Tumbatu ambao wanaunga mkono Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchukuwa … Continue reading Haji Omari Kheri bado una moyo wa kuongoza?Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles