Nimewahi kusema kuwa kuna haja ya kutumika busara ili Kura ya Maoni isifanyike kabisa mwaka huu na niliungana na wale waliokuwa na fikra kama hiyo, hadi pale wenzangu walipobadilika. Walibadilika kwa sababu walikuwa na lengo la kisiasa. Walichukulia fursa ya kufanyika Kura ya Maoni na ushindi utaopatikana kama ikipita ni sawa na kukifyagilia njia Chama … Continue reading Kura ya Maoni ya Katiba Mpya haifai Z’bar
