Ireland imezihisi pande zinazowakilisha mitazamo tafauti ya kisiasa visiwani Zanzibar kujikita zaidi kwenye mazungumzo ya kutatua tafauti zao, kwa kuendeleza misingi ya maridhiano na umoja wa kitaifa visiwani humo. Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Fionnuala Gilsenan, ambaye alikuwa mjini Zanzibar amevihimiza vyama vikuu vya CUF na CCM kuuendeleza utamaduni huo wa kuzungumza na kuzipatia ufumbuzi … Continue reading Ireland yawataka Wazanzibari kuyaendeleza Maridhiano kwa mazungumzo
