Miongoni mwa ujasiri wa kuandika tanzia ni kusema uongo kidogo kwa ajili ya marehemu, maana jamii yetu imejengwa juu ya imani kuwa maiti haisemwi kwa ubaya, na hivyo nawe hupaswa kumsifia kwa kila jambo, ikiwemo kuongeza sentensi mashuhuri kuwa “marehemu ameondoka duniani katika wakati ambapo jamii yake ikimuhitaji sana na amewacha pengo ambalo halitazibika.” Nami … Continue reading Kwaheri Salmin Awadh Salmin
