Muungano ulivyomtukuza Nyerere ukamdhalilisha Karume
Kabla ya kuja kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kulitanguliwa na nchi mbili zilizokuwa na uhuru na mamlaka kamili, Tanganyika na Zanzibar. Tanganyika ilipata uhuru wake tarehe 9 Disemba 1961...
View ArticleTanbihi ya mkutano wangu na Hanga
KUMBUKUMBU na usahaulifu. Kalima hizo mbili zina umuhimu mkubwa katika fani ya uandishi wa historia. Katika fani hiyo, “kumbukumbu” na “usahaulifu” huwa na siasa zake na nguvu za aina yake. […]
View ArticleTanbihi ya Tanbihi: Kumbukumbu, Kusahau, na Zanzibar Mpya
Madhumuni ya maandishi haya mafupi si kumjibu Mzanzibari mwenzangu na kaka yangu Ahmed Rajab, mwandishi maarufu na mwenye kusifika barani Afrika. Nia yangu ni kuweka sawa baadhi ya dhana zake […]
View ArticleMaafa ya Januari 2001: Busara iienzi damu ile
Kwa hakika, kuondokewa ni kugumu mno. Ugumu huu wa kuondokewa huzidi kuumiza panapoangaliwa huo muondoko wenyewe ambao waondokaji wameondoka. Ugumu huzidi kuchochota kwa kuwaangalia hao waondokewa...
View ArticleDk. Salmin sasa pumzika
HADI sasa, hakuna aliyetangaza wazi kugombea urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ingawa miongoni mwa waliowahi kutajwa ni Shamsi Vuai Nahodha na Balozi Seif Ali Iddi. Kwa mwelekeo […]
View ArticleCCM Z’bar haina uhalali kujinasibisha na Mapinduzi
Ukizingatia hotuba za Marehemu Mzee Abeid Karume na matendo yake wakati wa uhai wake, ukazingatia marudio ya kauli za Marehemu Karume kupitia kwa mjane wake, Mama Fatma Karume, ukasikiliza hotuba […]
View ArticleCUF italinda haki yake – Maalim Seif
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, anazungumzia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 ambapo yeye anasimama tena […]
View ArticleKina Membe wajiandae kuangushwa Z’bar
NILITULIA kumsikiliza Bernard Kamilius Membe akitangaza nia ya kuusaka urais wa Tanzania. Ilikuwa na maana kubwa kwangu kwa sababu kada huyu mwenye nguvu na kachero aliyejijenga nyumbani na ughaibuni,...
View ArticleTAABINI: Salim Mzee, “mzee wa Calypso” 1916-2015
WENGINE wakimwita “Maalim Salim”, wengi wakimwita “Sheikh Salim” na wakisikia anaitwa “Maalim” wakishangaa kwa sababu walikuwa hawajui kwamba Salim Mzee, aliyefariki dunia Ijumaa iliyopita akiwa na...
View ArticleCCM wapenda namba lakini hawajui hesabu
Leo tuongee uchumi kidogo. Kuna watu wanapenda namba lakini hawajui hesabu. Kama na wewe ni mmoja wao, tafadhali usisome makala hii. Wabunge wengi na mawaziri wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ni wagonjwa...
View ArticleSitta ajiumbua mwenyewe
NILIPONUKUU maneno aliyoniambia Samwel John Sitta kupitia simu ya mkononi (rudia makala iliyopita), sikujua bwanamkubwa huyu ana kiburi cha kupindukia mpaka. Mshangao niliopata kuhusu hulka yake hiyo...
View ArticleHatushirikiani na Vikosi vya SMZ – ZEC
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imepinga kutumika kwa Vikosi Maalum vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye shughuli zozote zinazohusiana na uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka...
View ArticleMambo yawa mambo Z’bar
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka Chama cha Wananchi (CUF) leo wametoka nje ya ukumbi wa baraza hilo kwa kile wanachodai kuwa ni ukiukwaji wa sheria, ikiwemo kujaza askari Polisi na wengine...
View ArticleZanzibar itavuna nini rais wa Muungano akiwa Jaji Ramadhani?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ni merikebu inayoelea shelabela katika bahari iliyochafuka. Imo safarini, ikipanda na kushuka juu ya mawimbi yenye hasira, ikiwa haijui tena iendako au hata ilikopanga kwenda....
View ArticleCCM mpigo ni uleule, nje na ndani ya chama
KUNA moja tu litaloweza kukinusuru Chama cha Mapinduzi (CCM) kisiporomoke katika Uchaguzi Mkuu ujao: upinzani uliogawika na unaopigana wenyewe kwa wenyewe badala ya kujumlisha nguvu zao pamoja dhidi ya...
View ArticleLowassa, UKAWA na suala la maadili
Historia inaonesha kuwa vipindi fulani katika mustakabali wa nchi unalazimisha kupima nini ni janga zaidi ya jingine. Marehemu Samora Machel na Frelimo walikubali kutia saini Mkataba wa Nkomati wa...
View ArticleWatilkal Ayyaam….
Kiu ya Wazanzibari kubadili mfumo wa Muungano ilikatishwa bila kusinzwa na wakalazimishwa kunywa mate yao na Bunge Maalum la Katiba mwishoni mwa mwaka jana. Ahadi ya Rais Jakaya Kikwete kuwa...
View ArticleWa 2015 sio tu uchaguzi mkuu, bali uchaguzi mkubwa kwa Z’bar
Kama halitotokea la kutokea, basi tarehe 25 Oktoba mwaka huu Wazanzibari wataelekea tena kwenye vituo vya kupigia kura kushiriki katika uchaguzi wa tano wa vyama vingi tangu mfumo huo uliporejeshwa...
View ArticleCCM itakimbiwa na wengi
MAKALA yangu ya mwisho ilieleza kirefu kidogo kuhusu michakato ndani ya chama-tawala, jinsi ambavyo haijali sana kuwatendea haki wote wanaosaka nafasi katika chama hicho na ni kwa nini baadhi ya hao...
View ArticleKinana, kwa nini? Kwani kunani?
NIMEKUWA nikiyasoma, tena na tena, makala ya Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), yaliyochapishwa Septemba 10 kwenye blogi la gazeti la The Hill la huko Washington, Marekani....
View Article