Kwa hakika, kuondokewa ni kugumu mno. Ugumu huu wa kuondokewa huzidi kuumiza panapoangaliwa huo muondoko wenyewe ambao waondokaji wameondoka. Ugumu huzidi kuchochota kwa kuwaangalia hao waondokewa wenyewe. Na ugumu huzidi […]
↧