Zanzibar na mzimu wa Sakura
Msomi mtafiti yoyote alie makini hawezi kuipuuza Sakura. Ile ndiyo “Sierra Maestra” ya kuingia Zanzibar na “Granma” yake ndivyo vile vyombo vilivyokuwa chini ya ulinzi wa bahari ya dola huru […]
View ArticleHanga hakuhusika na mauaji ya 1964
Katika Toleo la 405 la Gazeti la Raia Mwema la tarehe 13 Mei 2015, Mwandishi Mohamed Said, katika makala yake yenye kichwa cha maneno “Yaliyotokea katika kifo cha Abdulla Kassim […]
View ArticleHuu uchaguzi ndani ya mbinu chafu
NINAONESHWA kwenye simu ya kisasa, nakala ya kitambulisho cha Mzanzibari Mkaazi chenye jina la kijana wa Kimasai, mkaazi wa mtaa wa Darajani, mjini Unguja. Anamiliki kitambulisho kilichotolewa Aprili...
View ArticleUshauri wa bure kwa CCM Zanzibar
Akihutubia mkutano wa hadhara wa chama chake katika viwanja vya Kwa-Mabata, jimbo la Magogoni, kando kidogo ya Mjini Unguja wiki iliyopita, Naibu Katibu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, alinukuliwa […]
View ArticleKura ya Maoni hakuna – Lissu
Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu amesema Kura ya Maoni kwa ajili ya kupitisha Katiba Inayopendekezwa haitaendeshwa bila kuifanyia marekebisho sheria inayoongoza mchakato huo. Lissu, ambaye ni...
View ArticleZEC imeshindwa, ije taasisi nyengine kusimamia uchaguzi Z’bar
Tumezisikia tuhuma kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, wiki mbili zilizopita juu ya uendeshaji wa zoezi zima la uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa […]
View ArticleDk. Bilal alivyotoshwa Dodoma, akainukia mzima Muungano
WAKATI Rais wa Awamu ya Tano Visiwani, Dk. Salmin Amour Juma alipozuiwa bila kupenda kugombea nafasi hiyo kwa awamu ya tatu na kwa kuvunja Katiba mwaka 2000,matarajio yake ya mbele […]
View ArticleSerikali imeshindwa na Uamsho kisiasa, haitawaweza mahakamani
Kuna baadhi ya kesi ambazo serikali huziwasilisha mahakamani kwa jina la “Jamhuri”, huhitaji kwanza ishinde kesi hizo kwenye jamii, miongoni mwa wananchi. Hizo ni zile zinazowahusisha viongozi wakubwa...
View ArticleHili anguko la 20% la CCM Oktoba 2015
HEBU turudi nyuma kidogo ili kuipa mashiko hii hoja ya anguko la asilimia 20 linalokikabili Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi wa mkuu mwaka huu. Kwa kutumia takwimu zilizotangazwa na […]
View ArticleMuungano wa dhati au wa kiini macho?
Hii ni sehemu ya hotuba iliyotolewa bungeni tarehe 19 Mei 2015 na msemaji wa kambi rasmi ya upinzani anayehusika na Muungano, Mheshimiwa Tundu Lissu, kama maoni ya kambi hiyo kwa […]
View ArticleUjahili wa Pinda, upuuzi wa Msangi na uhalifishaji wa siasa
Misamiati hii mitatu ninayoitumia kwenye makala hii inastahiki kwanza kufafanuliwa kabla ya kuingia kwenye hoja yenyewe. Kwanza ni neno ujahili, ambalo katika maana yake ya kawaida linamaanisha ujinga,...
View ArticleKikwete na hadithi ya Kibuyu cha Ajabu
Zapata wiki mbili sasa tangu mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kuelezea khofu yake ndani ya bunge la Bajeti linaloendelea Dodoma kuwa hakutakuwa na uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu […]
View ArticleUrais Muungano sasa zamu ya Z’bar
Zipo sababu nyingi ambazo naamini chama changu nikipendacho cha Mapinduzi (CCM) kinapaswa kuzitazama na kuzitanguliza mbele kwa maslahi yake na nchi kwa ujumla. Binafsi nautazama uraisi huu kama kitu...
View ArticleBalozi Seif amuunga mkono Membe mbio za urais
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi amesema atakuwa bega kwa bega na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe katika mbio […]
View ArticleLa Uamsho na mapindopindo ya Pinda
KUNA usemi na usemi huu ni wa Kichina ambao tafsiri yake ni: “Nyayo iliyonyoka haikiogopi kiatu kilichopindika.” Maana ya usemi huu ni kwamba mtu mwenye maadili yaliyonyoka haogopi umbeya au […]
View ArticleYaliyotokea kifo cha Abdallah Kassim Hanga-2
HEBU tumsome Dk. Ghassany ameandika nini katika kitabu chake Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru kuhusu Hanga wakati yuko nyumbani kwa Oscar Kambona anajitayarisha kurejea Tanzania: ”Nnavokumbuka mimi, Oscar...
View ArticleKikwete, CCM na kilevi cha Bwana Mandola
Bwana Mandola ni mhusika kwenye filamu ya kijembe cha kisiasa iliyotolewa na Bollywood mwanzoni mwaka huu wa 2013 kwa jina la Matru Ki Bijlee Ka Mandola. Ni filamu ya vichekesho […]
View ArticleNaam, ni Mapinduzi Daima na Zanzibar Daima
Wazanzibari na Watanganyika wana malezi tafauti kuhusiana na sura ya Muungano. Ambapo Watanganyika wanauangalia huu kuwa ni Muungano wa Serikali Moja, Wazanzibari wanauangalia kuwa ni wa shirikisho la...
View ArticleMuungano si tatizo pekee la Zanzibar
Zanzibar ilifanya kosa kuingia kwenye mfumo huu wa muungano na jirani yake, Tanganyika. Kilichotokea Aprili 1964 ni “ajali ya kisiasa” kama zilivyo ajali nyingine zozote. Waswahili husema “ajali haina...
View ArticleUhasidi wa wahafidhina kwa Zanzibar
Muktadha wa makala haya ni mchakato unaoendelea wa kuipata Katiba Mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao sasa umebakiwa na viunzi viwili vya mwisho kukamilika – Bunge la Katiba […]
View Article