Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

TAABINI: Salim Mzee, “mzee wa Calypso” 1916-2015

$
0
0
WENGINE wakimwita “Maalim Salim”, wengi wakimwita “Sheikh Salim” na wakisikia anaitwa “Maalim” wakishangaa kwa sababu walikuwa hawajui kwamba Salim Mzee, aliyefariki dunia Ijumaa iliyopita akiwa na umri wa miaka 99 na miezi mitatu, ujanani mwake alikuwa mwalimu. Wengi waliotambua kwamba aliwahi kuwa mwalimu wakidhani kwamba akisomesha katika skuli za kawaida. Lakini Salim Mzee, aliyepata umaarufu Afrika ya Mashariki nzima katika fani ya utangazaji wa redio, akisomesha katika Skuli ya Mafunzo…

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles