Kama halitotokea la kutokea, basi tarehe 25 Oktoba mwaka huu Wazanzibari wataelekea tena kwenye vituo vya kupigia kura kushiriki katika uchaguzi wa tano wa vyama vingi tangu mfumo huo uliporejeshwa tena nchini mwao mwaka 1992. Katika chaguzi zilizopita za 1995, 2000, 2005 na 2010 utashi na ushabiki wa vyama, ndio uliotoa muelekeo mkubwa zaidi wa upigaji kura wa watu. Lakini hali ni nyengine kabisa katika …
↧