Kabla ya kuja kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kulitanguliwa na nchi mbili zilizokuwa na uhuru na mamlaka kamili, Tanganyika na Zanzibar. Tanganyika ilipata uhuru wake tarehe 9 Disemba 1961 unaohusishwa […]
↧