Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

CCM itakimbiwa na wengi

MAKALA yangu ya mwisho ilieleza kirefu kidogo kuhusu michakato ndani ya chama-tawala, jinsi ambavyo haijali sana kuwatendea haki wote wanaosaka nafasi katika chama hicho na ni kwa nini baadhi ya hao wanaohisi hawakutendewa haki, kujitoa ndani ya chama hicho na kujiunga na upinzani. Shauri la Edward Lowassa bila shaka linachukua nafasi ya juu kabisa katika hili, lakini wako wengi wengine. Yupo waziri mkuu mstaafu, Frederick …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles