Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Kinana, kwa nini? Kwani kunani?

$
0
0
NIMEKUWA nikiyasoma, tena na tena, makala ya Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), yaliyochapishwa Septemba 10 kwenye blogi la gazeti la The Hill la huko Washington, Marekani. Gazeti hilo si la kuchezewa wala kudharauliwa. Tangu liasisiwe 1994 limekuwa ni muhimu na lina uzito katika siasa za Marekani na, kwa kiwango fulani, za ulimwengu kwa jumla. Ni gazeti ambalo wanasiasa wa Marekani na …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles