Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Watilkal Ayyaam….

$
0
0
Kiu ya Wazanzibari kubadili mfumo wa Muungano ilikatishwa bila kusinzwa na wakalazimishwa kunywa mate yao na Bunge Maalum la Katiba mwishoni mwa mwaka jana. Ahadi ya Rais Jakaya Kikwete kuwa angeliondoka na kuiwacha Jamhuri ya Muungano ikiwa na Katiba Mpya ni miongoni mwa ahadi zake zilizofeli. Lakini uchaguzi wa tarehe 25 Oktoba mwaka huu unaonekana kuwa na majibu kwa Wazanzibari waliopigania mageuzi ya kimsingi kwenye …

Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles