Miguna Miguna azuia kupandishwa ndege kwa nguvu
Mwanasheria na mwanaharakati wa Kenya mwenye uraia pia wa Canada, Miguna Miguna, amezuia operesheni ya kumpandisha ndege kwa nguvu kumpeleka Dubai iliyochukuliwa na mamlaka za uhamiaji na vyombo vya...
View ArticleMbowe na wenzake wafutiwa dhamana, wasubiri kupandishwa kizimbani
Viongozi sita wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akiwamo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wamefutiwa dhamana na kuwekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi (Central), jijini Dar...
View ArticleMaalim Seif hajashindwa kuirejesha haki ya Oktoba 25 – Jussa
Mkurugenzi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa CUF, Ismail Jussa, amesema kuwa katibu mkuu wa chama chake, Maalim Seif Sharif Hamad, bado hajashindwa hadi sasa kuirejesha haki yao iliyoporwa...
View ArticleMazombi warudi kivyengine, wawateka vijana na kuwapeleka Fumba
Lile kundi mashuhuri la kihalifu linalotajwa kuhusika na matukio kadhaa mabaya visiwani Zanzibar, ambalo wakaazi wa visiwa hivyo wamelipanga jina la ‘Mazombi’, linaripotiwa kurejea upya kwenye uharamia...
View ArticleKulala viongozi sita rumande haijapata kutokea-Zitto
Baada ya viongozi sita wa ngazi ya juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akiwemo Mwenyekiti wa Chama hicho, Freeman Mbowe kukosa dhamana jana na kurudishwa rumande. Mbunge wa Kigoma mjini...
View ArticleZanzibar haishiriki wala haishirikishwi sera, sheria za Muungano
Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba muundo wa Muungano ulivyo na unavyotekelezwa unaitenga kando Zanzibar kwenye utungaji wa sera na sheria zinazousimamia...
View ArticleSMZ inawabagua CUF, Wapemba – Maalim Seif
Akiorodhesha mifano kadhaa iliyotokea tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu uliopita, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ameituhumu Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ)...
View ArticleLema awashukia Nchemba, Kipilimba, Sirro
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), amewaonya vikali na waziwazi Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba; Mkuu wa Usalama wa Taifa, Modestus Kipilimba; na Mkuu wa Polisi Simon Sirro...
View ArticleHatuko huru kumkosoa Rais-Wananchi
Taasisi ya Twaweza imebaini asilimia 60 ya wananchi hawajisikii huru kukosoa Taasisi ya Rais huku asilimia 54 hawajisikii huru kumkosa Makamu wa raisi. Utafiti huo uliotumwa leo Machi 29 kwa vyombo vya...
View ArticleMaalim Seif auanika usaliti wa Khalifa kwao
Katika kile kinachoibua hisia za Maalim Seif Sharif Hamad kwa kusalitiwa na baadhi ya jamaa zake wa Pemba kwenye mgogoro wa chama chake unaoendelea sasa, Katibu Mkuu huyo wa Chama cha Wananchi (CUF)...
View ArticleNape atema cheche juu ya demokrasia nchini
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema Tanzania inaweza kuwa Taifa la ovyo iwapo itashindwa kujifunza siasa za kuvumiliana hata kama yale yanayosemwa hayapendezi. Nape ambaye amekuwa akiibua...
View ArticleMambosasa asema aliyemuua Akwilina bado hajajuulikana
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa ameviambia vyombo vya habari aliyemuua Mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini bado hajajuulika na...
View ArticleZanzibar yampoteza mtangazaji bingwa wa burudani
Zanzibar leo imemzika mmoja wa watangazaji wake bingwa wa redio katika upande wa burudani na sanaa, Hassan Jureij Hassan (Hass J), ambaye hadi mauti yanamfika alikuwa akifanyia kazi kituo cha redio cha...
View ArticleLissu asema serekali iliiomba SCEL kuficha Bombardier kukamatwa
Mwanasheria na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefichua kwamba serekali ya Tanzania ilitaka kufichwa juu ya kukamatwa kwa ndege ya Bombardier huko Canada. Leo kupitia ukurasa wake wa...
View ArticleRiwaya:Safari ya Kumuua Rais-7
Ilipoishia wiki iliyopita tuliona Abdull akimuaga Fartuun anaondoka na hatorudi tena Somalia, halikuwa jambo rahisi kwa Fartuun kukubali. Fartuun akamuomba Abdull wakutane kwa mara ya mwisho…Endelea…...
View ArticleAbdilatif Abdalla amuadhimisha Karimi Nduthu
Ni fahari kubwa kwangu kushirikishwa katika maadhimisho haya ya kumkumbuka Karimi Nduthu, mmojawapo miongoni mwa mashujaa wetu wa Kenya waliojitolea maisha yao ili kuendeleza harakati za mapambano...
View ArticleKamwe Wazanzibari hawatamsamehe Kikwete – Mazrui
Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Nassor Ahmed Mazrui, amesema kamwe Wazanzibari hawataweza kumsamehe rais mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, kwa ushiriki wake kwenye kuuharibu...
View ArticleSasa nchi ina udikteta kamili-Mbowe
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) Feeman Mbowe ametoa kauli kwamba Tanzania sasa ina udikteta kamili. Kuali ya Mbowe imekuja masaa machache baada ya kutoka rumande kwa...
View ArticleMaalim Seif asema Mama Samia alikuwa mwanachama wa CUF
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amefichua siri kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliwahi kuwa mwanachama wa CUF,...
View ArticleVijana 3 wa Pemba waliotekwa wasimulia mkasa mzima
Vijana watatu kati ya sita waliotekwa kutoka majumbani mwao huko Mtambwe kaskazini mwa kisiwa cha Pemba, wamesimulia mkasa mzima ulivyowatokea tangu walipovamiwa majumbani mwao usiku wa kuamkia Ijumaa...
View Article