Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba muundo wa Muungano ulivyo na unavyotekelezwa unaitenga kando Zanzibar kwenye utungaji wa sera na sheria zinazousimamia Muungano wenyewe, hali ambayo inaiweka Zanzibar kwenye nafasi inayofanana sana na koloni au mahamiya.
↧