CHADEMA yataka kukutana na Magufuli
Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania (CHADEMA) kinamtaka Rais John Magufuli aitishe haraka kikao na wazee wa taifa wakiwemo wa chama hicho ili kuzungumzia mustakabali wa nchi...
View ArticleCUF yaitaka Mahakama Kuu kuwarejesha wabunge 8 bungeni
Chama cha Wananchi (CUF) kinaendelea kushuhudia kesi zake zilizo mahakamani zikisogezwa mbele kwa sababu moja ama nyengine, ambapo hivi leo wamepangiwa tarehe nyengine za mbele kusikilizwa madai yao....
View ArticleZanzibar yawania kujitangaza kimataifa
Maonesho ya kimataifa ya utalii ya Berlin yamemalizika nchini Ujerumani hivi karibuni, na kwa mara nyengine tena Zanzibar imehudhuria kama nchi ikisaka utambulisho wake yenyewe. Lakini bado changamoto...
View ArticleRiwaya: Safari ya Kumuua Rais -5
Ilipoishia tuliona Abdull alivyoanza chuo na kukutana na marafiki wengi akiwemo Kassim, pia akakutana na Fartuun. Jioni moja wakati wakitoka chuo waliamua kufuatana na story mbili tatu zikawa...
View ArticleHuku mkwamo wa kisiasa ukiendelea Z’bar, CUF yageukia soka
Wakati bado Chama cha Wananchi (CUF) kikiendelea kuamini kuwa mgogoro wa kisiasa uliotokana na uchaguzi wa Oktoba 2015 haujesha, sasa chama hicho kikongwe visiwani Zanzibar kimegeukia kwenye mchezo wa...
View ArticleMahakama Kuu yawataka akina Sirro kujieleza kuhusu Nondo
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imewataka Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkuu wa Jeshi la Polisi kufika mahakamani kesho Jumatano tarehe...
View ArticleMbunge Ally Saleh achapisha diwani nyengine ya ushairi
Mwandishi wa habari aliyesomea sheria na kugeuka kuwa mwanafasihi na kisha mwanasiasa, Ally Saleh (Alberto), amechapisha diwani yake nyengine ya ushairi, inayoitwa ‘TUPO: Diwani ya Tungo Twiti’, ambayo...
View ArticleHatimaye Nondo apandishwa kizimbani kiutata
Hatimaye jeshi la polisi nchini Tanzania limempandisha kizimbani kiongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Mahmoud Abdul Nondo, mkoani Iringa, baada ya takribani wiki mbili za kumshikilia....
View ArticleMbowe aitwa tena polisi, atowa waraka mzito kwa taifa
Leo tarehe 22 Machi 2018, mimi na viongozi wenzangu waandamizi wa Chadema tumetakiwa tena kuripoti Polisi. Tunaokabiliwa na usumbufu huu ni pamoja na Mhe Vincent Mashinji (Katibu Mkuu), Mhe. John John...
View ArticleLipumba amlaumu Maalim Seif kwa sheria mbaya ya uchaguzi Z’bar
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amemlaumu Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad, kwa kupitishwa sheria ‘mbaya’ za uchaguzi kwenye Baraza la...
View ArticleLipumba amkashifu vibaya Mtatiro
Aliyekuwa mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya chama hicho, Julius Mtatiro, hana heshima na hana adabu, akidai kuwa ni kijana...
View ArticleUchawi unatibika
Uchawi si jambo kubwa sana kama ambavyo wengine wanalichukulia. Pindi unapokusibu una tiba yake, na pia kama yalivyo maradhi mengine, pia una kinga yake. Msikilize Sheikh Sultan Al Mendhry kwenye...
View ArticleLipumba ni nuhusi kwa CUF – Maalim Seif
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Prof. Ibrahim Lipumba, hana hadhi ya kujiita mpinzani wa kweli dhidi ya Chama cha...
View ArticleKutana na Masoud ‘Tongenyama’, mpishi mashuhuri wa karamu
Masoud Juma Masoud, maarufu kama Mssoud Tongenyama, ni kijana wa Kizanzibari anayejishughulisha na kazi ya upishi wa karamu mwenye umaarufu mkubwa kwenye mikoa ya Pwani na jijini Dar es Salaam, ambako...
View ArticleZaima TV yazindua kipindi maalum cha ‘Ajenda ya Zanzibar’
Kuelekea maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo Aprili 26, Zaima TV inaanza kurusha kipindi maalum kiitwacho Ajenda ya Zanzibar, ambacho kinaangazia hoja ya Wazanzibari...
View ArticleKamanda awaahidi ulemavu watakaoandamana
Katika kile kinachoonekana ni muamko wa uhamasishaji wa maandamano kupitia mitandao ya kijamii ukiendelea, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto amewaonya watu wanaopanga kushiriki maandamano...
View ArticleHiki ndicho unachotakiwa kufanya ukiota ndoto za majini ya kichawi
Je, ndoto za vitisho au vitimbi unazoota usingizini zinaweza kuwa na athari kwenye maisha yako? Kwenye sehemu hii ya mfululizo wa makala za Nuru ya Tiba, Sheikh Sultan Al Mendhry anasema jawabu ni...
View ArticleMahakama yampa dhamana Nondo, lakini askari magereza wakimbia naye
Habari za hivi punde kutoka Mjini Iringa zinasema kuwa Mahakama mkoani humo imekubali kutoa dhamana kwa kiongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Mahmoud Nondo, ikiagiza masharti ya...
View ArticleMaalim Seif aunga mkono waraka wa KKKT
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema amefarijika sana kuona Kanisa la Kilutheri la Tanzania (KKKT) limetoa waraka wa kuzungumzia hali halisi ya nchi katika wakati...
View ArticleMaalim Seif awashukia Lipumba,Jaji Mutungi
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Shariff Hamad amesikitishwa na Mwenyekiti wa zamani wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba kwa kuendeshwa kama kishada na kufanya kazi na Chama Cha...
View Article