Wazee Pemba watowa muda hadi kesho watoto wao 3 wawe wamesharejeshwa
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na inayoashiria kiwango kikubwa cha kuchoshwa na mateso dhidi yao, wazee kisiwani Pemba wamelipa Jeshi la Polisi masaa 24 kutoka sasa kuhakikisha vijana watatu...
View ArticleKinachoidhuru zaidi Zanzibar ni Wazanzibari wenyewe – Othman Masoud
Mwanasheria mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba licha ya Wazanzibari kuamini kuwa nchi yao inatawaliwa na Tanganyika na kwamba haitendewi haki kwenye Muungano, ukweli ni...
View ArticleCUF yawaunga mkono wabunge kutoka Bungeni
Chama kikuu cha upinzani visiwani Zanzibar, CUF, kimeungana na wabunge wanaoiwakilisha Zanzibar kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa kambi ya upinzani, ambao juzi walitoka nje ya ukumbi...
View ArticleKwaheri Maalim Suleiman Shkeli wa Pandani
Mauti ewe mauti, ukija kama hujaja Huwa waja katikati, ya maisha yetu waja Katikati ya wakati, na kati ya zetu haja Na hata tukikutaja, wewe khabari hupati Nimepokea habari ya Kaka yangu, Mzee wangu,...
View ArticleTrilioni 1.5 zapotea, TRA yadanganya makusanyo ya trilioni 2.2 – Zitto Kabwe
Kiongozi wa chama cha upinzani cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema kwa mujibu wa ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, CAG Mussa Assad, serikali kuu imepata hati chafu ikiwa imetumia mabilioni ya...
View ArticleMafuriko yauwa watu saba Dar
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali watu saba wamethibitika kufa kutokana na mafuriko katika wilaya tatu za jiji la Dar es Salaam Kamanda wa Kanda Maalumu ya Polisi Dar es salaam,...
View ArticleZanzibar inaumia kwenye Muungano kama taifa la visiwa
Kwenye kipindi cha leo cha Ajenda ya Zanzibar, mwanahistoria bingwa, Profesa Abdul Sheriff, anazungumzia namna ambavyo kwa kuwa kwake kwenye aina hii ya Muungano, Zanzibar inapoteza fursa ya kutumia...
View ArticleCUF yauponda utetezi wa serikali kwenye sakata la trilioni 1.5
Muda mchache baada ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Naibu Waziri wa Fedha, Aishatu Kijaji, kutoa ufafanuzi wa shilingi trilioni 1.5 ambazo Mkaguzi Mkuu, CAG Juma Assad,...
View ArticleSerikali yasema hakuna trilioni 1.5 iliyoibiwa wala kupotea
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Naibu Waziri wa Fedha, Dk. Aishatu Kijaji, imetoa ufafanuzi wa sakata la shilingi trilioni 1.5 ikisema hakuna fedha kama hiyo iliyopotea wala...
View ArticleSMT haiwezi kukubali Akaunti ya Fedha ya Muungano hata siku moja – Juma Duni
Wakati wabunge wa upinzani kutoka Zanzibar wakiendelea kushikilia ulazima wa kuheshimiwa kwa matakwa ya kikatiba ya kuundwa haraka kwa Akaunti ya Pamoja ya Fedha baina ya Tanzania Bara (Tanganyika) na...
View ArticleZaidi ya Watanzania 380 watajwa ‘kupotezwa’ kusini
Juni 12, 2017 mchana, Bi Ziada Salum wa Kitongoji cha Maparoni wilayani Kibiti alikuwa nyumbani kwake akipika chakula cha familia yake, wakati ambao Jeshi la Polisi lilifika na kumchukua kwaajili ya...
View ArticleBendera ya Marekani yachomwa Bungeni
Hasira zinaendelea kushamiri baada ya uwamuzi wa rais wa Marekani Donald Trump kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia yaliyowafikiwa kati ya Iran na mataifa sita yenye nguvu duniani. Asubuhi ya leo...
View ArticleCongo yathibitisha mripuko mpya wa Ebola
Serekali ya Congo imetangaza mripuko mpya wa ugonjwa wa Ebola baada ya kuthibitishwa watu wawili kukutwa na virusi ya ugonjwa huo na takribani 17 kufariki Kaskazini-Magharibi mwa taifa hilo. “Nchi yetu...
View ArticleNi kupi kuyalinda mapinduzi?
Ufuatao ni mjadala kati ya Wazanzibari watatu – Balozi Ali Karume, Bwana Salim Msom na Wakili Awadh Ali Said – juu ya mada tete ya kuyalinda mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964, ambao ulianza kutokana...
View ArticleHivi ndivyo hila dhidi ya Z’bar zilivyoanza – Ibrahim Hussein
Mwandishi na mchambuzi maarufu wa Zanzibar, Ibrahim Hussein, anasema kuwa hila dhidi ya Zanzibar zilianza tangu wakati wa kuja kwa mkoloni wa Kiingereza kwenye eneo la pwani ya Afrika Mashariki na...
View ArticleChini ya muundo huu wa Muungano, michezo ya Z’bar haisongi mbele – Ally Saleh
Mwanamichezo wa siku nyingi ambaye ni mwanasiasa, mshairi na mwandishi wa habari, Ally Saleh, anasema kuwa muundo wa Muungano uliopo unairejesha nyuma Zanzibar kwenye eneo la michezo, ambalo japokuwa...
View ArticleUpinzani hautakufa
Kuna mkereketwa mmoja wa CCM ambaye pia nina mashaka tele na upeo wake katika kuyaelewa mambo, ameandika kwenye ukuta wake hivi: “Wacha vyama vya upinzani vife. CCM yenyewe peke yake ni zaidi ya vyama...
View ArticleSerikali yasema hakuna trilioni 1.5 iliyoibiwa wala kupotea
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Naibu Waziri wa Fedha, Dk. Aishatu Kijaji, imetoa ufafanuzi wa sakata la shilingi trilioni 1.5 ikisema hakuna fedha kama hiyo iliyopotea wala...
View ArticleSheikh Karume angeshauvunja Muungano
TUNAUHITIMISHA mfululizo huu wa makala matatu kuhusu Zanzibar baada ya kupinduliwa wa serikali huru ya Zanzibar Januari 12, 1964 kwa kuuangalia Muungano ulioundwa baina ya Tanganyika na Zanzibar...
View ArticleVyombo vya Usalama vyalaumiwa uvunjaji haki za binaadamu
Vyombo vya ulinzi na usalama vimeelezwa kuwa vinaongoza katika ukiukwaji wa haki za binaadamu katika mikoa mbali mbali nchini Tanzania. Hayo yameelezwa katika mdahalo wa waandishi wa habari na wadau...
View Article