Zanzibar leo imemzika mmoja wa watangazaji wake bingwa wa redio katika upande wa burudani na sanaa, Hassan Jureij Hassan (Hass J), ambaye hadi mauti yanamfika alikuwa akifanyia kazi kituo cha redio cha Swahiba FM.
↧