Aliyeupeleka Muungano mahakamani ahofia maisha yake
Kiongozi wa vuguvugu la Wazanzibari linalohoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rashid Salum Adi, ameuomba Umoja wa Mataifa kumpa hifadhi ya usalama wake wakati huu kesi yao ikikaribia...
View ArticleRC Kusini Pemba akasirishwa na matokeo ya Kidato IV
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Hemed Suleiman, amesema kufanya vizuri kwa skuli tatu tu kati ya zaidi ya 20 katika mitihani ya Kidato cha Nne 2017 ndani ya mkoa wake ni jambo la aibu na linalopaswa...
View ArticleHakuna mdharau ukweli aliyewahi kubakia salama
Ndugu zangu, nimeona tamko la Wizara ya Mambo ya Nje likieleza kuwa Balozi mbalimbali za Ulaya na Marekani ambazo hivi karibuni zimetoa kauli ya kukosoa mwenendo wa Serikali “hazijui hali halisi ya...
View ArticleRiwaya: Safari ya Kumuua Rais – 3
Tuliona sehemu ya pili, Abdull na Talib walipokimbia Pemba wakaishi katika mji wa Nyali, Mombasa ya Kenya, baadaye maisha hayakuwa mazuri wakaelekea katika kambi ya wakimbizi ya Dadaab, huku wakapata...
View ArticleWatoto wenye ulemavu wapatiwa njia nyepesi kujifunza
Katika jitihada ya kuliwezesha kundi kubwa la watoto wenye ulemavu na wale waliotoka kwenye mazingira magumu, Maktaba Kuu nchini Tanzania imeanzisha utaratibu wa kuwapitia mashuleni na mitaani watoto...
View ArticleViongozi 5 wa Uamsho ‘waachiliwa’
Viongozi watano wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar waliokuwa wametoweka kwenye mazingira ya kutatanisha zaidi ya wiki tatu sasa, wameachiliwa na kurejea majumbani kwao katika...
View ArticleMajini wasilimishwa Zanzibar
Katika sehemu hii ya mfululizo wa makala za tiba, mbali ya kuendelea kuchambua mambo yanayoweza kupelekea mtu kukumbwa na hasad, Sheikh Sultan Al Mindhry anasimulia nafasi ya toba na kisa cha yeye...
View ArticleWakaazi Dar walalamikia giza mitaani
Licha ya juhudi kubwa za kuisaidia Tanzania kupitia miradi mbali mbali inayofadhiliwa kimataifa, mingi mingoni mwa miradi hio hufa muda mfupi baada ya kuanzishwa. Mwaka 2005, Benki ya Dunia ilitowa...
View ArticleMfumko wa bei washuka Zanzibar
Licha ya wananchi visiwani Zanzibar kulalamika kuwa hali ya maisha inazidi kuwa ngumu kila uchao, Ofisi ya Mtakwimu Mkuu inasema kuwa mfumko wa bei umeshuka kutoka asilimia 5.2 mwezi Januari hadi 4.8...
View ArticleKesi ya kupinga Muungano kuanza kesho Arusha
Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) imeanza kusikiliza kesi zilizofunguliwa na watu binafsi pamoja na mashirika mbalimbali dhidi ya nchi wanachama wa jumuiya na zinatarajiwa kuuanza kusikilizwa hadi...
View ArticleMahakama ya Afrika Mashariki yaliondoa ombi la kesi ya Muungano
Majaji katika Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki mjini Arusha wameliondoa ombi la walalamikaji wa kesi inayopinga uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kutaka, pamoja na mengine, kesi hiyo...
View ArticleAdi afafanua kile hasa kilichotokea kesi ya Muungano EACJ
Kiongozi wa Wazanzibari 40,000 waliofungua kesi ya kuhoji uhalali wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwenye Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki (EACJ), Rashid Salum Adi, amefafanua kwa kina kile...
View ArticleUhuru na Raila wafikia muafaka
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na kiongozi mkuu wa upinzani, Raila Odinga, wamefanya mazungumzo katika ofisi ya rais jijini Nairobi mchana huu, ikiwa ni kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi mkuu ufanyike...
View ArticleSiku ya Jumuiya ya Madola kuadhimishwa Zanzibar
Chama Cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Tawi la Zanzibar kwa kushirikiana na Chama cha Wabunge Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Zanzibar watafanya maadhimisho ya Siku ya Jumuiya ya Madola...
View ArticleKwa nini hupaswi kutumia ushirikina hata unapodhurika kwa ushirikina?
Katika sehemu hii ya mfululizo wa makala za tiba, leo Sheikh Sultan Al Mendhry anakuelezea sababu muhimu za kuepuka kutumia matibabu yanayomshirikisha Mwenyezi Mungu hata pale ambapo umegunduwa kwamba...
View ArticleRiwaya: Safari ya Kumuua Rais – 4
Tuliona sehemu iliyoisha Baada ya ndugu wawili kutoka Daadab na kuingia Mohadishu wakiwa na Ismail, wakaanza maisha ya uvuvi hapo, lakini ghafla mwenyeji wao akawaaga na kuondoka bila kusema anaenda...
View ArticleKutana na Ally Hilal 3 ndani ya 1
Ingawa kanuni ya maisha inatuelekeza kuwa kila mwanaadamu amezaliwa akiwa na kipaji cha aina fulani, lakini si kila mmoja anayekigunduwa na kukitumia kwa maslahi yake na wengine. Matokeo yake ni kwamba...
View Article‘Kilio cha Usumbufu’: Diwani mpya yaingia sokoni rasmi
Kampuni ya uchapishaji ya mtandaoni, Zanzibar Daima Publishing House, imechapisha diwani mpya ya ushairi wa Kiswahili iitwayo ‘Kilio cha Usumbufu’ iliyoandikwa na mtaalamu wa lugha na fasihi na mwalimu...
View ArticleJe, sheria ya ardhi Zanzibar inakupa haki gani?
Miongoni mwa masuala yanayozuwa mizozo mikubwa visiwani Zanzibar ni umiliki na uhaulishaji wa ardhi pamoja na mali nyengine zisizohamishika, ambapo matukio mengi ya kudhulumiana yanaripotiwa. Lakini...
View ArticlePolisi yadai Abdul Nondo alijiteka
Mkuu wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, amesema kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Wanafunzi Tanzania, Abdul Nondo, anashikiliwa na jeshi hilo na atafunguliwa mashitaka ya kuzusha...
View Article