Maonesho ya kimataifa ya utalii ya Berlin yamemalizika nchini Ujerumani hivi karibuni, na kwa mara nyengine tena Zanzibar imehudhuria kama nchi ikisaka utambulisho wake yenyewe. Lakini bado changamoto kubwa inabakia kuwa ni kutokujiamini kwa waliopewa dhamana ya kuusimamia utalii wa Zanzibar, kwa mujibu wa washiriki wa maonesho hayo. Angalia vidio hii.
↧