Masoud Juma Masoud, maarufu kama Mssoud Tongenyama, ni kijana wa Kizanzibari anayejishughulisha na kazi ya upishi wa karamu mwenye umaarufu mkubwa kwenye mikoa ya Pwani na jijini Dar es Salaam, ambako ustadi wake wa kazi umemjengea jina na hadhi kubwa miongoni mwa wanajamii.
↧