Wakati bado Chama cha Wananchi (CUF) kikiendelea kuamini kuwa mgogoro wa kisiasa uliotokana na uchaguzi wa Oktoba 2015 haujesha, sasa chama hicho kikongwe visiwani Zanzibar kimegeukia kwenye mchezo wa soka kwa kuanzisha ligi ya wilaya, ambayo imezinduliwa leo na Naibu Katibu Mkuu, Nassor Mazrui, kwa mechi kati ya timu za Wilaya ya Kati na Wilaya ya Kusini.
↧