Je, ndoto za vitisho au vitimbi unazoota usingizini zinaweza kuwa na athari kwenye maisha yako? Kwenye sehemu hii ya mfululizo wa makala za Nuru ya Tiba, Sheikh Sultan Al Mendhry anasema jawabu ni ndiyo, kwa kuwa nyengine huwa ndoto za majini ya kichawi, na anakufahamisha namna ya kujitibu mara moja unapogunduwa kuwa unaandamwa na ndoto za aina hiyo. Ambatana naye.