Quantcast
Channel: Zanzibar Daima – Zanzibar Daima
Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Mahakama Kuu yawataka akina Sirro kujieleza kuhusu Nondo

$
0
0

Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala ya Dar es Salaam imewataka Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Mkuu wa Jeshi la Polisi kufika mahakamani kesho Jumatano tarehe 21 Machi 2018 kueleza ni kwa nini hawataki kutoa dhamana au kumpeleka mahakamani kiongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Mahmoud Abdul Omari Nondo, ambaye amekuwa kwenye mikono ya vyombo vya dola kwa zaidi ya wiki mbili sasa.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 854

Trending Articles