Kuelekea maadhimisho ya miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hapo Aprili 26, Zaima TV inaanza kurusha kipindi maalum kiitwacho Ajenda ya Zanzibar, ambacho kinaangazia hoja ya Wazanzibari kuelekea Muungano wenyewe. Nini wanachokisimamia? Nini kinachowakera? Lipi ni suluhisho? Yote yanajibiwa kwenye kipindi hiki na Wazanzibari kwa mtazamo wa Kizanzibari. Usikose.
↧