Wazazi tujirekebishe kwa ajili ya watoto wetu
Hakuna malezi mazuri kwa mtoto kama ya wazazi wake wawili na hakuna makuzi mazuri kama mtoto huyo kukuwa akiwaona wazazi wake wiwili wapo pamoja katika ndoa. Kuna raha na ladha maalum ambayo si rahisi...
View ArticleNyumba 200 zasombwa na mafuriko Pemba
Nyumba 666 zimeathiriwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kisiwani Pemba, huku nyengine 200 zikisombwa kabisa na kuziacha familia zaidi ya 3,000 kukosa makaazi. Hayo yalidhihirikia jana baada ya...
View ArticleTuhuma za mateso dhidi ya mayaya Oman, jibu la Mtanzania
Wapendwa waungwana na wapenda ukweli. Siku hizi za karibuni kumekuwako na upotoshwaji mkubwa wa habari za wafanyakazi wa ndani nchini Oman. Jamani waungwana, Waswahili husema kunya anye kuku akinya...
View ArticleKofi Annan ‘amshukia’ Trump
Sera za Rais Donald Trump wa Marekani za kujionesha kuwa anaweza kufanya kila jambo peke yake zinaidhoofisha nafasi ya taifa hilo kubwa ulimwenguni katika wakati ambao dunia inakabiliwa na majaribu...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 10 Mei 2017
Suala la vyeti vya kughushi limerejea upya, ambapo sekta muhimu za umma, kama vile afya na elimu, zimetajwa kujaa walioghushi nyaraka za kitaaluma, ingawa sasa uchunguzi wenyewe nao ukitiliwa mashaka....
View ArticleWabunge CUF wawashutumu Mwigulu, Masauni kwa hujuma
Wabunge wa Chama cha Wananchi (CUF) wamewatuhumu moja kwa moja waziri na naibu waziri wa mambo ya ndani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kile walichosema ni ushiriki wa moja kwa moja wa viongozi...
View ArticleMaalim Seif, Mchungaji Gwajima wamkalia kitako Lipumba
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, leo amekutana na mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Mchungaji Josephat Gwajima, katika kile walichokielezea kuwa kikao cha kuujadili...
View ArticleMsiimbe siasa, mtaishia pabaya – Mwakyembe
Waziri wa Habari wa Tanzania Bara, Dk. Harrison Mwakyembe, amewatolea wito wasanii kutokujihusisha na mambo ya siasa kwenye kazi zao, akiwaonya kuwa kufanya hivyo kunaweza kuwaweka mahala pabaya....
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 11 Mei 2017
Michango ya waliokuwa mawaziri wa serikali ya Rais Pombe Magufuli na ambao waliachishwa nafasi zao na sasa kurudi kwenye mabenchi ya wabunge wa kawaida ndiyo iliyochukuwa nafasi za juu kwenye magazeti....
View Article“Kimya cha dunia kwa haki ya Wazanzibari chaogofya”
Ukimya wa jumuiya ya kimataifa juu ya suala la uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa upande wa Zanzibar kimeanza kuwainua wasomi na wananchi wa kawaida wakihoji dhamira yake. Uchaguzi huo uliofutwa kinyume...
View ArticleNyerere alivyomtetea Karume Accra
KATIKA mwezi wa Machi hali ya hewa jijini Accra, Ghana, huwa inaudhi bila ya kiasi kwa joto linavyokuwa kali. Jioni ndipo huzidi kushtadi. Nadra mvua kunyesha. Siku moja Machi 1958, saa za Magharibi,...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 12 Mei 2017
Miongoni mwa yaliyogusiwa kwenye magazeti ya leo ni ziara ya Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na mpambano kati ya wabunge wa CCM kufuatia kauli kali za juzi za wabunge wenzao akina Nape Nnauye na...
View ArticleMke atoweka baada ya kumuua mumewe kwa kisu Pemba
Mwanamke mmoja mkaazi wa Kizimbani, Wete kisiwani Pemba, anatafutwa baada ya kutoweka na mwanawe mchanga muda mfupi baada ya kumchoma kisu na kusababisha kifo cha mumewe. Mkasa huo ulitokea jana...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 13 Mei 2017
Leo mada kadhaa zimechanganyika, kuanzia ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuifungia Benki ya Mbinga, CCM kukwepa kongamano la demokrasia lililoandaliwa na vyama vya siasa, hadi makandokando ya ajali...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 14 Mei 2017
Kuzuiwa kwa mkutano wa demokrasia ulioandaliwa na UKAWA kwa kushirikiana na asasi za kijamii, matatizo kwenye sekta ya elimu pamoja na muendelezo wa vuta nikuvute bungeni ni habari zilizopewa...
View ArticleVitoto vyetu vimeshakwenda, sasa tuambiane ukweli
Hapana shaka, kuwapoteza watoto wetu, walimu na dereva wao kwenye ajali ya hivi karibuni ya Arusha kulilishtua taifa. Tumeumia kama jamii na kupatwa na simanzi kama wazazi. Lakini wakati joto la...
View ArticleSasa Korea Kaskazini ‘yamchezea masharubu’ Putin
Khofu mpya zimezuka baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kuonya kuwa “Urusi haitoridhishwa” na jaribio la makombora ya masafa marefu lililofanywa hivi karibuni kabisa na Korea Kaskazini. Utawala wa...
View ArticleImpekoven wawagaraza Euskirchen 1-8
Miamba ya Impekoven ya hapa Bonn leo iliwagaragaza watengeneza sukari wa Euskirchen ngoma 1 kwa 8 katika mpambano uliokuwa wa piga nikupige huko kwenye uwanja wa nyumbani kwa jamaa wa mtambo wa shira....
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 15 Mei 2017
Miongoni mwa yaliyotanda safu za mbele za magazeti ya leo ni kashfa ya vyeti vya kughushi kwenye jeshi la polisi, uwezekano wa Tanzania kupata soko kubwa la muhogo nchini China na kuuawa kwa kiongozi...
View ArticleWabunge UKAWA waiandama serikali kwa kutojali maafa ya mafuriko
Huku mvua kubwa zikiendelea kunyesha na kusababisha maafa mbali mbali kote nchini Tanzania, wabunge wanaotokana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wameilaumu serikali kwa kuonesha...
View Article