Huku mvua kubwa zikiendelea kunyesha na kusababisha maafa mbali mbali kote nchini Tanzania, wabunge wanaotokana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wameilaumu serikali kwa kuonesha kutojali na maafa hayo.
Filed under:
VIDIO Tagged:
bunge,
mafuriko,
Tanzania,
Ukawa