Utata wa ‘gaidi’ wa ATM aliyeuawa na polisi
Jana kwenye mitandao ya kijamii kulisambazwa picha ya maiti ya kijana mwenye ndevu, kofia, kanzu na alama ya sijida usoni ikiwa imelala chini ikichiria damu mbichi na maelezo kuwa ni mtuhumiwa wa...
View ArticleMuungano si tatizo pekee la Zanzibar
Tuko tunaoamini kwamba Zanzibar ilifanya kosa kuingia kwenye ‘mfumo huu wa muungano’ na jirani yake, Tanganyika. Kwetu kile kilichotokea Aprili 1964 ni “ajali ya kisiasa” kama zilivyo ajali nyingine...
View ArticleIjuwe mbinu mpya ya kuhifadhi na kuuza maembe
Nakumbuka, wakati nakuwa kisiwani Pemba, nilikulia miembeni, sio tu kwa kuwa nilizungukwa na miembe nyumbani petu, bali pia kwa kuwa familia yangu ilikuwa ya maembe. Baba yangu alikuwa mfanyabiashara...
View ArticleNyumba zaezuliwa na upepo mkali Unguja
Upepo mkali uliovuma mapema leo magharibi kwa kisiwa cha Unguja unahofiwa kusababisha madhara makubwa, baada ya nyumba kadhaa kuezuliwa mapaa. Mashahidi wanasema eneo la Nyarugusu, jimbo la Pangawe,...
View ArticleWaziri wa JK arushiwa risasi hewani
Aliyekuwa naibu waziri wa fedha kwenye serikali ya awamu ya nne ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoongozwa na Jakaya Kikwete, Adam Kighoma Ali Malima, amejikuta akikabiliana uso kwa uso na...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 16 Mei 2017
Mada kuu leo ni uamuzi wa Rais John Magufuli kuifuta Mamlaka ya Uendelezaji wa Mji Mkuu Dodoma (CDA), mkasa wa jana wa askari polisi kuwasha risasi za moto hewani akimtishia naibu waziri wa zamani wa...
View ArticleKutana na Sheikha Nasser anayeigeuza tasnia urembo kuwa maisha
Hadi hivi karibuni, mambo ya urembo na vipodozi yalikuwa mambo ya mtu binafsi. Wanawake wanaojiremba na kujipodoa, walifanya hivyo kwa mafunzo waliyopata kutoka kwa watu wao wa karibu – mabibi,...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 17 Mei 2016
Kurasa nyingi za mbele zinadodosa undani wa kujiuzulu kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Mecky Sadiq, na majaji wawili uliotangazwa jana na Ikulu ya Magogoni, sambamba na kupandishwa kizimbani kwa Adam...
View ArticleMjuwe yule polisi wanayesema ni ‘jambazi’ wa ATM
Salum Mohammed Bin Almasi aliyezaliwa mwaka 1989 ni mjukuu wa Sheikh Muhammad bin Abdulrahman Ash-Shadhily. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi iliyopo Kilwa Kivinje kutoka darasa la kwanza...
View ArticleMuseveni avikosoa vyombo vyake vya usalama kwa utesaji
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekosoa visa vya utesaji ambavyo vyombo vya usalama nchini mwake vinatuhumiwa kuvifanya, akisema vitendo hivyo sio sahihi na sio vya lazima. Katika barua aliyowaandikia...
View ArticleUmasikini wa Zanzibar ni uongozi wake
Mvua kubwa za masika zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya pwani za Bahari ya Hindi zimetuletea gharika nchini Zanzibar, ambako makaazi ya watu, miundombinu ya usafiri na majengo ya umma...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Mei 18
Mjadala wa “Tanzania ya Viwanda” warindima bungeni, kashfa ya vyeti vya kughushi kwenye jeshi la polisi na kwenye michezo bado ubingwa wa Yanga waendelea kuzitawala kurasa. Filed under: MAGAZETINI LEO...
View ArticleChina kuwapima DNA raia Waislamu
China imo kwenye matayarisho ya kuchukuwa vipimo vya vinasaba (DNA) kutoka kwa raia wake waishio katika mkoa wenye Waislamu wengi na ambao umekuwa chini ya msako mkali wa vyombo vya dola, wanasema...
View ArticleMeya wa Arusha akamatwa akigawa rambirambi
Ripoti kutoka Arusha zinasema kuwa Mstahiki Meya Kalist Lazaro amekamatwa na polisi akiwa kwenye maeneo ya Shule ya Mtakatifu Lucky Vicent, alipokwenda kupeleka mkono wa rambirambi. Pamoja na meya...
View ArticleHaya ndiyo #MahabaMubashara: Binti Mfalme wa Japan aacha cheo aolewe
Mjukuu wa kike wa Mfalme Akihito wa Japan, Binti Mfalme Mako, amekubali kupoteza hadhi na haki zote za umalkia ili aweze kuolewa na mpenzi wake, waliyekutana tangu akiwa chuo kikuu. Taarifa...
View ArticleMbunge wa Kwerekwe auvunja mfupa uliomshinda fisi
Mbunge kijana wa jimbo la Mwanakwerekwe, Ali Salim Khamis (CUF), anafanya kile ambacho kilikuwa kimeshindikana kwa zaidi ya miaka 20 sasa kwenye jimbo hilo la mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja. Khamis,...
View ArticleKama unadhani Mmarekani Bill Gates ndiye tajiri mkubwa, hujawahi kumsikia...
Unaweza kuwa unamjuwa Bill Gates kuwa ndiye tajiri kubwa pekee kwa sasa, akimiliki mali zenye thamani ya dola bilioni 100, ama hata John D. Rockefeller aliyewahi kumiliki utajiri wa dola bilioni 250,...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 19 Mei
Kukamatwa meya wa Arusha pamoja na wenziwe kadhaa wakati wakitoa mkono wa pole kwenye skuli ya Mtakatifu Lucky Vicent kumechukuwa nafasi kubwa ya kurasa za mbele, sambamba na suala la vyeti vya...
View ArticleMitizamo miwili ya Nyerere juu ya Israel
WIKI iliyopita niliandika kuhusu mazungumzo waliyokuwa nayo viongozi wawili wa kizalendo wa Kiafrika jijini Accra, Ghana Machi 1958. Viongozi wenyewe walikuwa Mwalimu Julius Nyerere na Sheikh Ali...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 20 Mei 2017
Sakata la kukamatwa kwa meya wa Arusha na wenziwe hapo majuzi walipokuwa kwenye utowaji mkono wa pole msibani, bajeti ya kilimo bungeni na siku ya mwisho ya ligi kuu ya Vodacom ndizo mada kubwa kwenye...
View Article