Miamba ya Impekoven ya hapa Bonn leo iliwagaragaza watengeneza sukari wa Euskirchen ngoma 1 kwa 8 katika mpambano uliokuwa wa piga nikupige huko kwenye uwanja wa nyumbani kwa jamaa wa mtambo wa shira. Jionee highlights za game yenyewe hapo chini:
Filed under: BURUDANI, VIDIO Tagged: bonn, Euskirchen, Impekoven, sport
