Nyundo za Sugu zilivyosugua bungeni
Hii ndiyo hotuba kamili ya Mbunge Joseph Mbilinyi ambayo ilizua tafrani kwenye Bunge hapo jana kiasi cha Mwenyekiti wa Bunge hilo, Mbunge Mussa Zungu, kulazimisha kuwa kurasa 17 za hotuba hiyo zifutwe,...
View ArticleVidio: Kutana na mtoto apendanaye na joka
Mvulana wa Cambodia, Ouen Sambat, analichukulia joka hili linaloishi nyumbani mwao sio kama tu mnyama wa kufugwa, bali kama rafiki yake mpenzi mwenye jina la Chamerun, yaani bahati. Angalia vidio hii....
View ArticleBaada ya kushinda kesi ya uchochezi dhidi yake, sasa kijana wa Kitanzania...
Kijana wa Kitanzania, Mpaluka Said Nyagali maarufu kwenye mitandao ya kijamii kama Mdude Nyagali, ameshinda kesi ya uchochezi dhidi yake na sasa anaitaka serikali kupitia vyombo vyake vilivyoshiriki...
View ArticleKisiwa cha Pemba chakumbwa na mvua ya gharika
Si kawaida mafuriko kukiathiri kisiwa cha Pemba, hata panapokuwa na mvua kubwa kiasi gani, kutokana na maumbile yake ya milima na mabonde, lakini mvua kubwa ya masika inayoendelea sasa imezamisha...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 7 Mei 2017
Ajali ya jana ya basi lililokuwa limewachukuwa wanafunzi wa Mt. Lucky kaskazini mwa Tanzania ndiyo imepewa nafasi ya juu. Inatajwa kuwa zaidi ya watu 30, wengi wao wakiwa wanafunzi, walipoteza maisha...
View ArticleLowassa awalilia watoto wa Mt. Lucky
Waziri mkuu mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA, Edward Lowassa, ameelezea masikitiko yake kwa vifo vya zaidi ya watu 30, wengi wao watoto wadogo wanafunzi wa...
View ArticleUhuru Kenyatta afadhaishwa na vifo vya watoto wa Kitanzania
Akipokea uteuzi wa chama chake cha Jubilee kuwania tena urais wa Kenya hivi leo, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewaomba raia wa nchi yake kusimama angalau kwa dakika moja kama ishara ya kuwaombea...
View ArticleWasanii wa Bongo walizwa na ‘mashujaa wa elimu’
Vifo vya watoto zaidi ya 30 vilivyotokea jana Karatu, kaskazini mwa Tanzania, hapana shaka vimelitikisa taifa hilo kubwa kabisa kieneo kwenye ukanda wa Afrika Mashariki. Watoto hao walipatwa na ajali...
View ArticleKuvuta sigara kunapokuwa kipaji
Wengi tunakubaliana kuwa uvutaji sigara ni hatari kwa afya ya mvutaji na hata waliomzunguka, kwani moshi wa tumbaku una madhara ya moja kwa moja kwa afya na hata kwa mazingira. Lakini hivi unajuwa kuwa...
View ArticleMacron aongoza Ufaransa
Huku takribani nusu ya kura zikiwa zimeshahesabiwa kwenye uchaguzi wa duru ya pili nchini Ufaransa, mgombea urais mwenye siasa za wastani anayeunga mkono Muungano wa Ulaya, Emmanuel Macron, anaongoza...
View ArticleKama hujaisikia hii, bado hujaijuwa maana hasa ya dhihaka kwenye sanaa
Vidio ya wimbo wa Bongofleva wa msanii Ney wa Mitego uitwao Wapo iliyoigizwa upya (remix) kwa njia ya dhihaka na msanii wa vichekesho nchini Tanzania, Mkali Wao, inaakisi maana halisi ya dhihaka kwenye...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 8 Mei 2017
Taarifa kubwa inaendelea kuwa ajali ya basi Iliyoangamiza maisha ya watu 35 juzi, wengi wao wakiwa wanafunzi wa skuli ya Mtakatifu Lucky Vicent, ambapo leo Makamu wa Rais Samia Suluhu anatazamiwa...
View ArticleJe, wajuwa kuwa Wafaransa milioni 4 walipiga kura za maruhani?
Licha ya mgombea urais wa mrengo wa kati nchini Ufaransa, Emmanuel Macron, kujishindia asilimia 66.1 ya kura kwenye uchaguzi wa duru ya pili hapo jana, dhidi ya hasimu wake wa mrengo mkali wa kulia,...
View ArticleKwaherini ‘mashujaa’ wetu wa elimu
Leo ni siku ambayo miili 35 ya mashujaa wa elimu nchini Tanzania inaagwa mjini Arusha. Zanzibar Daima inaunganika na familia za watoto wetu, walimu na dereva waliopoteza maisha kwenye ajali ya juzi...
View ArticleBuhari akutanana na wasichana ‘wa Boko Haram’
Mchana wa leo, Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria amewakaribisha wasichana 82 walioachiliwa huru na kundi la wanamgambo wa Boko Haram, miaka mitatu baada ya kuwachukuwa mateka wakiwa kwenye skuli yao...
View Article“Mkitushambulia, tutaingamiza Saudia nzima kasoro Makka na Madina tu”, Iran...
Ikijibu kitisho cha karibuni kabisa kwamba Saudi Arabia itauhamishia mgogoro wake ndani ya ardhi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, serikali mjini Tehran imeapa kwamba haitakibakisha chochote kimesimama...
View Article“Bila ya Brigitte, nisingekuwa mimi”– Macron amsifia mkewe mzee
Huenda Emmanuel Macron ndiye rais kijana zaidi kuliko wote waliowahi kuitawala Ufaransa, lakini pia huenda mkewe akawa mkongwe zaidi kwa mwanamme huyo mwenye umri wa miaka 39 kuliko wake wengi wa...
View ArticleHuenda hii ikawa zawadi bora kabisa ya ‘birthday’ kwa Mzee Ruksa kuwahi kupewa
Wakati Rais wa Tatu wa Zanzibar na wa Pili wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, maarufu kama Mzee Ruksa, akiadhimisha umri wa miaka 92 tangu azaliwe, huenda moja ya zawadi alizopatiwa na Mzanzibari...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 9 Mei 2017
Jumanne ya leo bado imeendelea kuwa siku ya msiba kwenye kurasa nyingi za mbele za magazeti ya Tanzania, yakiripoti tukio la kuagwa kwa miili ya wanafunzi, walimu na dereva waliopoteza maisha kwenye...
View ArticleLema ‘amuibua’ Ben Saanane bungeni
Mbunge Godbless Lema wa Arusha Mjini, ambaye jana hakupewa nafasi ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa wa ajali iliyoangamiza watu 35, wengi wao wakiwa wanafunzi, kutokana na kile kinachotajwa kuwa “chuki...
View Article