Michango ya waliokuwa mawaziri wa serikali ya Rais Pombe Magufuli na ambao waliachishwa nafasi zao na sasa kurudi kwenye mabenchi ya wabunge wa kawaida ndiyo iliyochukuwa nafasi za juu kwenye magazeti. Nape Nnauye na Charles Kitwanga walitumia muda mrefu jana bungeni kuisema na kuikemea serikali ambayo walikuwa sehemu yao hadi hivi karibuni.








Filed under: HABARI Tagged: Charles Kitwanga, magazeti, Nape Nnauye, Tanzania
