Ajali ya jana ya basi lililokuwa limewachukuwa wanafunzi wa Mt. Lucky kaskazini mwa Tanzania ndiyo imepewa nafasi ya juu. Inatajwa kuwa zaidi ya watu 30, wengi wao wakiwa wanafunzi, walipoteza maisha hapo hapo.
Click to view slideshow.Filed under: HABARI
