Mvulana wa Cambodia, Ouen Sambat, analichukulia joka hili linaloishi nyumbani mwao sio kama tu mnyama wa kufugwa, bali kama rafiki yake mpenzi mwenye jina la Chamerun, yaani bahati. Angalia vidio hii.
Filed under: VIDEO