Labda shetani ndio awape tunzo viongozi wa Afrika
Ni mwaka wa pili sasa kwa Wakfu wa Mo Ibrahim kushindwa kupata mtu wa kumtunuku Tunzo ya Uongozi Bora Afrika. Katika hali ya kushangaza, kamati maalum kwa ajili ya kuteuwa kiongozi wa kumpa tunzo hiyo...
View ArticleLa Lema tayari, sasa la Uamsho
Wanasharia na watetezi wa haki za binaadamu wanatuambia kuwa haki ina misingi yake mikuu, ambayo inapaswa kuhishimiwa ili haki hiyo iitwe kweli ni haki. Mmojawapo ni ukweli kuwa haki na ubinaadamu...
View Article‘Dystopia’ na machungu ya viongozi wakali
NIMEKUWA nikilitafuta neno moja la Kiswahili kuielezea hali ya Zanzibar ilivyo na inavyoelekea kuwa endapo mambo yake yataendelea kuwa yayo kwa yayo, tuseme katika kipindi cha miaka kumi au ishirini...
View ArticleKauli ya Dk. Shein haiondoi khofu ya raia kukosa umeme
Visiwa vya Zanzibar vimegubikwa na minong’ono na khofu kubwa baada ya Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuiagiza Shirika la Ugavi wa Umeme ya Tanzania Bara (TANESCO) kuwakatia...
View ArticleNiijuwavyo Zanzibar
Wazazi wangu, Mervyn na Auderey Smithman, walikwenda Tanganyika mwaka 1946 baada ya vita kutokea katika Serikali ya Kikoloni ya Muingereza. Baba yangu alikuwa na cheo cha luteni kanali katika jeshi la...
View ArticleUzimwe usizimwe, Zanzibar i gizani
Tangu Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) atowe kauli yake ya kulitaka Shirika la Ugavi wa Umeme la Tanzania Bara (TANESCO) kuwakatia wadaiwa wake sugu, ikiwemo Serikali ya...
View ArticleNje ya umoja wa kitaifa na maridhiano, Zanzibar itaendelea kudhalilika
Kwa kutumia ghiliba ya mtazamo hasi wa kihistoria, kundi la wanasiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) waliikaba pumzi dhana nzima ya umoja wa kitaifa na maridhiano ya Wazanzibari. Hawa walikuwa...
View ArticleBado kioo kinamkana Dk. Shein
Jumatatu ya tarehe 21 Machi 2016, Dk. Ali Mohamed Shein aliamka mapema kisha akasimama mbele ya kioo chake kujiangalia. Ile taswira kwenye kioo ikamuambia: “Wewe ni Ali tu!” Mwangwi wa sauti hiyo...
View ArticleZanzibar ijifunze maana ya mapinduzi kutoka Oman
Kwa makusudi kabisa, wenye satwa ya kutunga sera na mwelekeo wa taifa letu wanataka ionekane kama kwamba uhusiano kati ya Zanzibar na Oman ulianza mwaka 1832 pale Sayyid Said bin Sultan Al-Busaid...
View ArticleSahara Magharibi kama Zanzibar
Naandika makala hii nikiwa kwenye ziara ya kikazi nchini Morocco katika mji wa Marrakesh, ambao sehemu yake ya kale ina mengi yanayofanana na ya Mji Mkongwe wa Zanzibar, husemi ila wachoraji wa ramani...
View ArticleEAC na kesho ya Afrika Mashariki
Chaguzi za wabunge wanaotakiwa kuingia kwenye Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) zimefanyika, ingawa hatuwezi kuhoji kuwa zimemalizika, angalau kwa upande wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
View ArticleMuungano, Zanzibar na miaka 53 ya ukaliwaji wa kimyakimya
Zanzibar ina bahati mbaya ya kukaliwa na tawala za kigeni kwenye historia yake, zikibadilishana moja baada ya nyengine, lakini haijawahi kuacha kuzipinga tawala hizo kwenye historia yake yote. Huu ni...
View ArticleLabda shetani ndio awape tunzo viongozi wa Afrika
Ni mwaka wa pili sasa kwa Wakfu wa Mo Ibrahim kushindwa kupata mtu wa kumtunuku Tunzo ya Uongozi Bora Afrika. Katika hali ya kushangaza, kamati maalum kwa ajili ya kuteuwa kiongozi wa kumpa tunzo hiyo...
View ArticleLa Lema tayari, sasa la Uamsho
Wanasharia na watetezi wa haki za binaadamu wanatuambia kuwa haki ina misingi yake mikuu, ambayo inapaswa kuhishimiwa ili haki hiyo iitwe kweli ni haki. Mmojawapo ni ukweli kuwa haki na ubinaadamu...
View Article‘Dystopia’ na machungu ya viongozi wakali
NIMEKUWA nikilitafuta neno moja la Kiswahili kuielezea hali ya Zanzibar ilivyo na inavyoelekea kuwa endapo mambo yake yataendelea kuwa yayo kwa yayo, tuseme katika kipindi cha miaka kumi au ishirini...
View ArticleKauli ya Dk. Shein haiondoi khofu ya raia kukosa umeme
Visiwa vya Zanzibar vimegubikwa na minong’ono na khofu kubwa baada ya Rais John Magufuli wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuiagiza Shirika la Ugavi wa Umeme ya Tanzania Bara (TANESCO) kuwakatia...
View ArticleLulu ya Zanzibar: Bi Suad Al Lamki, mwanasheria mstaafu
Katika ziara yangu nchini Oman mnamo mwezi Machi, nilikutana na mashujaa wengi wa Zanzibar, ambao Zanzibar ya leo na Oman yenyewe pia haziwezi kusimama kujisemea zisiwasemee kama kweli zinataka kuweka...
View ArticleVidio: Othman Masoud auanika Muungano
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema mahusiano ya kiutawala yaliyopo kati ya Tanganyika na Zanzibar yamekosa uwazi juu ya ni kipi hasa kilichopo – ama kama ni muungano,...
View ArticleAudio: Tundu Lissu ‘aitoa povu’ serikali bungeni
Msemaji wa Kambi ya Upinzani Bungeni (Sheria na Katiba), Mbunge Tundu Lissu, amewasababisha wajumbe wa baraza la mawaziri wa serikali ya Rais John Magufuli kuchangiana kwenye kupambana naye bungeni,...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania 6 Mei 2017
Mada kuu kwenye magazeti ya Tanzania hivi leo hotuba ya jana ya Msemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (Habari, Utamaduni na Michezo) Mbunge Joseph Mbilinyi ambayo ililazimishwa na Mwenyekiti Mussa...
View Article