Vifo vya watoto zaidi ya 30 vilivyotokea jana Karatu, kaskazini mwa Tanzania, hapana shaka vimelitikisa taifa hilo kubwa kabisa kieneo kwenye ukanda wa Afrika Mashariki. Watoto hao walipatwa na ajali wakati basi walilokuwa wakisafiria lilipopata ajali likiwa njiani kuelekea skuli ya Karatu walikokuwa wakafanye mtihani wa majaribio. Katika kuwalilia ‘mashujaa’ hao wachanga wa elimu, baadhi ya wasanii wachanga wa Tanzania wamekusanyika na kutoa wimbo huu wa kusikitisha:
Filed under: SAUTI Tagged: ajali, karatu, st. lucky vicent
