Akipokea uteuzi wa chama chake cha Jubilee kuwania tena urais wa Kenya hivi leo, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amewaomba raia wa nchi yake kusimama angalau kwa dakika moja kama ishara ya kuwaombea watoto wa Kitanzania zaidi ya 30 waliokufa jana wakati basi lao lilipopinduka kaskazini mwa Tanzania na kuungana na familia za majirani zao. Angalia vidio yake hapa chini:
Filed under: HABARI
