Mwanasheria mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema kwamba licha ya Wazanzibari kuamini kuwa nchi yao inatawaliwa na Tanganyika na kwamba haitendewi haki kwenye Muungano, ukweli ni kuwa tatizo kubwa zaidi limo miongoni mwa Wazanzibari wenyewe, hasa wale waliokabidhiwa madaraka ambao wanaweka mbele maslahi ya vyeo kuliko ya taifa lao la Zanzibar, ingawa amesema anatiwa moyo na wimbi la vijana linalouhoji mfumo wa Muungano uliopo.
↧