Happy Birthday CCM!
Imenichukuwa dakika tano tu hivi hadi kuwaza niandike nini kama sehemu ya zawadi kwa chama changu na marafiki zangu wa chama cha Mapinduzi CCM! Nimeona ni kheri kuandika kwa sababu si wote wenye uwezo...
View ArticleWazanzibari wapaswa kuyaelewa maradhi ya moyo
Upo msemo wa Kiswahili usemao “Ukitaka kumuua paka anza kwa kumpa jina baya”, ambao huelezea namna watu wanavyoharamisha au kuhalalisha jambo kwa kuanza na kukivunjia hadhi yake. Wagonjwa wa maradhi...
View ArticleNyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano
MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park Hotel. Hoteli hiyo iko mkabala wa uwanja wa Hyde...
View ArticleJPM ameshinda walau kwa sasa
“LINI?” Ni swali nililojiuliza, mara kwa mara, tangu Januari 8 mwaka jana kila nilipomsikia Edward Lowassa akitajwa. Januari 8, 2018, ndiyo siku Lowassa alipopokewa rasmi Ikulu na Rais John Pombe...
View ArticleMaalim Seif na Jahazi la Nuh
Kinachoendelea hivi sasa katika siasa za Tanzania, kwa ujumla, hasa kwa upande wa Zanzibar katika Chama Cha Wananchi (CUF) kimenifanya nikumbuke tarekhe za visa vya Mitume na kwa muktadha wa makala...
View ArticleMaalim Seif, ‘The Terminator’
Kwa wale wapenzi wa filamu ya Hollywood, wataikumbuka filamu maarufu ya The Terminator, ambayo muhusika wake mkuu, Arnold Schwarzenegger, anapambana na maadui zake vya kutosha. Lakini bahati mbaya...
View ArticleMaalim Seif una mkate gaeni
Leo nimetafuta muda nikasoma kwa kituo taarifa iliyochapishwa hivi karibuni na Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia tasnia ya ubunifu na uvumbuzi linaloitwa kwa Kiingereza World Intellectual...
View ArticleAlgeria: Darasa za bure barabarani
KATIKA maktaba yangu nina kitabu, kijitabu kwa hakika, chenye kufundisha namna ya kufanya mashambulizi ya kigaidi katika miji kwa lengo la kupindua serikali. Kinaitwa “Minimanual of the Urban Guerilla”...
View ArticleSudan: Mapinduzi bado kukamilika
NADHANI ni kweli kwamba madikteta wote ni vichaa. Hakuna dikteta mwenye akili timamu. Ndiyo maana ninakubaliana na mwandishi wa Kituruki Mehmet Murat Ildan kwamba hakuna mtu anayeweza kuwa dikteta ila...
View ArticleKhalifa Hatfar: Kibaraka wa Marekani au mwokozi wa Libya?
MMOJA wa wapashaji wangu wakuu wa habari za Libya nilipokuwa mhariri wa gazeti la Africa Analysis jijini London alikuwa mtu ambaye aliponipigia simu kwa mara ya mwanzo alijitambulisha kwa jina la...
View ArticleMasauni amelewa pombe gani?
Kijijini kwetu alikuwepo mzee mmoja ambaye alikuwa maarufu sana. Miongoni mwa mambo yaliyompa umaarufu ni jinsi alivyokuwa mweledi katika elimu ya dini ya Kiislamu kiasi cha kuwafundisha baadhi ya...
View ArticleMuungano unalindwa kwa nguvu
RAIS Ahmed Abdallah wa Comoro aliyeuliwa Novemba 26, 1989 na askari wa kizungu aliowakodi mwenyewe, anakumbukwa kwa mengi. Kuna wanaomuona kuwa shujaa kwa kuthubutu kuikabili Ufaransa na kutangaza...
View ArticleAlgeria: Darasa za bure barabarani
KATIKA maktaba yangu nina kitabu, kijitabu kwa hakika, chenye kufundisha namna ya kufanya mashambulizi ya kigaidi katika miji kwa lengo la kupindua serikali. Kinaitwa “Minimanual of the Urban Guerilla”...
View ArticleSudan: Mapinduzi bado kukamilika
Al Bashir hakuwa na uungwana huo. Aliipindua serikali iliyochaguliwa ya Waziri Mkuu Sadiq al Mahdi baada ya serikali hiyo kuanza mashauriano na waasi wa Sudan Kusini. Ajabu ya mambo ni kwamba miaka...
View ArticleKhalifa Hatfar: Kibaraka wa Marekani au mwokozi wa Libya?
Haftar anaishtumu serikali ya Tripoli kuwa imejaa magaidi na amekuwa akidai kwamba lengo lake ni kuwapiga vita magaidi wote wenye kufuata mielekeo mikali ya Kiislamu kama vile wafuasi wa Dola ya...
View ArticleMasauni amelewa pombe gani?
Kijijini kwetu alikuwepo mzee mmoja ambaye alikuwa maarufu sana. Miongoni mwa mambo yaliyompa umaarufu ni jinsi alivyokuwa mweledi katika elimu ya dini ya Kiislamu kiasi cha kuwafundisha baadhi ya...
View ArticleMuungano unalindwa kwa nguvu
RAIS Ahmed Abdallah wa Comoro aliyeuliwa Novemba 26, 1989 na askari wa kizungu aliowakodi mwenyewe, anakumbukwa kwa mengi. Kuna wanaomuona kuwa shujaa kwa kuthubutu kuikabili Ufaransa na kutangaza...
View ArticleACT-Wazalendo yakemea rushwa kwenye uchaguzi
Chake-Chake, PEMBA: Chama cha ACT-Wazalendo kimeapa kuwachukulia hatua za kinidhamu wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho watakaobainika wakijihusisha na vitendo vya rushwa....

View Article