Kwenye kipindi cha leo cha Ajenda ya Zanzibar, mwanahistoria bingwa, Profesa Abdul Sheriff, anazungumzia namna ambavyo kwa kuwa kwake kwenye aina hii ya Muungano, Zanzibar inapoteza fursa ya kutumia nafasi yake ya kuwa taifa la visiwa kujiendeleza kama yafanyavyo mataifa mengine ya visiwa kwenye Bahari ya Hindi.
↧