Mwanamichezo wa siku nyingi ambaye ni mwanasiasa, mshairi na mwandishi wa habari, Ally Saleh, anasema kuwa muundo wa Muungano uliopo unairejesha nyuma Zanzibar kwenye eneo la michezo, ambalo japokuwa si miongoni mwa mambo ya Muungano, linaikosesha kufaidika na vipaji vyake kimataifa.
↧