Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Naibu Waziri wa Fedha, Dk. Aishatu Kijaji, imetoa ufafanuzi wa sakata la shilingi trilioni 1.5 ikisema hakuna fedha kama hiyo iliyopotea wala kuibiwa.
↧