Yasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 16
Kashfa ya mikataba ovyo ya madini yaendelea kutawala vichwa vya habari katika kurasa za mbele za magazeti ya Tanzania, huku kurasa za nyuma kwenye michezo, mada zikijikita kwenye mzozo kati Baraza la...
View ArticleTuhuma za dhuluma dhidi ya Mzee Gora: Jibu la Ally Saleh kwa Waziri Rashid
Salam. Mimi naitwa Ally Saleh. Natumai utakuwa na muda wa kuyasoma maelezo haya ili, kwanza, ujielimishe juu ya suala la Mzee Haji Gora na, pili, upate usikie upande wa pili wa shillingi Bahati mbaya...
View ArticleCUF yaja juu kufungiwa Mawiyo
Chama cha Wananchi (CUF) kimelaani vikali hatua ya serikali ya Rais John Magufuli kulifungia gazeti huru la Mawiyo kwa kisingizio cha kuwahusisha marais wastaafu na kashfa ya mikataba ya ovyo kwenye...
View ArticleKubenea na Mwakyembe vidole machoni
Waziri mwenye dhamana ya habari kwenye serikali ya Rais John Magufuli, Harrison Mwakyembe, ametetea hatua yake ya kulifungia gazeti la Mawiyo, huku mmoja wa wamiliki wa gazeti hilo, Said Kubenea,...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 17
Bado mjadala wa mchanga wa madini unaosafirishwa nje ya nchi na mikataba ya ovyo iliyoingiwa na serikali za awamu zilizopita unaendelea, na kwenye michezo ni pirika pirika za uchaguzi wa Shirikisho la...
View ArticleKutana na Ninja wa mwisho aliyebakia
Jinichi Kawakami anaelezwa kuwa ndiye ninja wa mwisho kabisa duniani, akiwa mrithi wa moja kwa moja wa sanaa hiyo ya mapigano, ujasusi na mauaji iliyodumu kwa miaka 500. Maninja wamefunzwa kufanya...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 18 Juni
Mada ni mchanganyiko. Kuanzia za mazungumzo yanayotarajiwa kuwepo kati ya serikali ya Rais John Magufuli na kampuni ya Barrick Gold hadi taarifa za kiuchunguzi kuhusu kushamiri kwa biashara ya viungo...
View ArticleHuyu kiongozi vipi kumtishia mfichua ufisadi?
NI nani anayestahili kuitwa mkorofi kati ya mwakilishi anayeiambia ukweli serikali ili ijirekebishe au kujisafisha penye madoa, na yule anayetishia hatima ya kisiasa huyo anayeamini anachokisema ni...
View ArticleSubiria ‘moja ya mawili’ kwa siasa za Zanzibar
TANGU kutokea kwa songombingo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, kutokana na utendaji wa shaka wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, bado hali ya siasa Zanzibar...
View ArticleMashirika ya haki za binaadamu yalaani kufungiwa Mawio
Mashirika ya haki za binaadamu na watetezi wa uhuru wa habari nchini Tanzania yamelaani vikali na kwa kauli moja hatua ya serikali ya Rais John Magufuli kulifungia gazeti la Mawio kwa madai ya kukiuka...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 19 Juni
Makinikia na makandokando yake yaendelea kuwa mada kuu kwenye kurasa za mbele za magazeti kama ulivyo uchaguzi wa Shirikisho la Soka la Tanzania Bara (TFF) kwenye kurasa za nyuma. Filed under:...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 20
Takribani magazeti yote yametanda habari za kupandishwa kizimbani kwa washukiwa wa kuhujumu uchumi na wamiliki wa kampuni ya kuzalisha umeme ya IPTL, Habinder Singh na bilionea Rugemarila. Kwenye...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 21
Ziara ya Rais John Magufuli mkoani Pwani na yaliyojiri huko ni miongoni mwa mada kuu za leo, kikubwa kikiwa kiapo chake cha kupambana na ufisadi na wizi serikalini pamoja na ujenzi wa viwanda, na huku...
View ArticleMaalim Seif afanya ziara ya kushtukiza usiku huu madukani
Habari zilizotufikia kutoka Mjini Unguja muda mfupi uliopita ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ametembelea maduka ya nguo katika mitaa ya Mchangani na...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo Juni 22
Habari ya kuuawa kwa polisi wawili huko Kibiti mkoani Pwani, siku moja baada ya Rais John Magufuli kufanya ziara eneo hilo na pia hotuba zake za jana akiwa huko ni mada kubwa leo magazetini....
View ArticleKanuni ya mikataba ya kudumu izuiwe
Mnamo tarehe 15 Mei 2013 aliyekuwa Waziri wa Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, Haroun Ali Suleiman, aliweka saini kanuni inayosimamia mikataba ya kazi Zanzibar, si kwa nguvu za kiuwaziri...
View ArticleYasemavyo magazeti ya Tanzania leo 23 Juni
Kauli ya Rais John Magufuli juu ya marufuku kwa wanafunzi wanaopata ujauzito shuleni ndiyo iliyopewa nafasi kubwa kwenye kurasa za mbele, ambapo kurasa za nyuma zinajikita zaidi na namna Simba Sports...
View ArticleZawadi ya Eid inapokuwa rushwa
Kamisheni ya Kuondosha Ufisadi nchini Indonesia (KPK) imetangaza kwamba ripoti zinazohusiana na zawadi za Eid zilizokubaliwa na maafisa wa serikali na vyombo vya dola zimeongezeka. Mkurugenzi wa KPK,...
View ArticleUzalendo wa kufungiana? Suluhisho la Kunduchi
WIKI iliyopita, Serikali ilitangaza kulifungia gazeti la MAWIO kwa muda wa miaka miwili kwa maelezo ya kukiuka agizo la kutowahusisha marais wastaafu wa Tanzania na sakata la usafirishaji wa makinikia...
View ArticleMajibu yasiyopendeza ya suala la Kibiti
Kuna utaratibu wa kutoa mafunzo ya kijeshi kwa vijana kwa mujibu wa sheria na kwa wanaojitolea kupitia Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Mafunzo hayo yanawafaa sana vijana kwa kuwajengea ukakamavu na...
View Article